WAWATA

KWA UPENDO WA KRISTU

WAWATA ni mojawapo ya chama chakitume ndani ya Kanisa Katoliki ambacho kinaundwa na Wanawake Wakatoliki walio na umri wa miaka 18 na kuendelea kuanzia ngazi ya JNNK, Kanda, Parokia, Dekania, Jimbo na Taifa.

Utendaji wa WAWATA katika Parokia unategemea mipango ya Utendaji ya WAWATA Dekania na Jimbo ambayo hutolewa kila mwaka. Utendaji kazi wa WAWATA Parokia pia unaendana na Katiba ya WAWATA.