Category Archives: Uchungaji

Uchungaji

ParokiaHalmashauri ya WaleiIdara ya KatekesiVyama vya Kitume: UVIKANJO na YCSUtume wa FatimaWAWATAMarriage EncounterChristian Professionals of Tanzania – CPTMoyo Mtakatifu wa YesuLegio MariaUtoto MtakatifuParokia Jimbo la Njombe lina jumla ya parokia arobaini na tano (45) zinazoendeshwa na mapadre wazalendo na wa mashirika mbalimbali ya kitawa hapa jimboni.Ifuatayo  ni orodha ya Parokia zote pamoja na tarehe ya kuanzishwa na Mlinzi […]

Read More

Misa ya Krisma

Misa ya Krisma Katika Misa hii yalibarikiwa mafuta matakatifu ya Krisma, wagonjwa na ya wakatekumeni. Pia Mhashamu Askofu alizindua rasmi jubilei ya upadre Tanzania 1917-2017 ambayo kwa Jimbo la Njombe kilele kitakuwa tarehe 11/10/2017 kwa heshima ya kumbukumbu ya tarehe ya Upadrisho wa Padre wa Kwanza mzalendo jimboni Marehemu Padre Alois Kayombo (11/10/1951). Mshahamu Baba […]

Read More