Category Archives: Uinjilishaji

Misa ya Krisma

Misa ya Krisma Katika Misa hii yalibarikiwa mafuta matakatifu ya Krisma, wagonjwa na ya wakatekumeni. Pia Mhashamu Askofu alizindua rasmi jubilei ya upadre Tanzania 1917-2017 ambayo kwa Jimbo la Njombe kilele kitakuwa tarehe 11/10/2017 kwa heshima ya kumbukumbu ya tarehe ya Upadrisho wa Padre wa Kwanza mzalendo jimboni Marehemu Padre Alois Kayombo (11/10/1951). Mshahamu Baba […]

Read More