MISA YA KUBARIKI MAFUTA 2019

Misa ya Kubariki Mafuta Matakatifu ya Krisma, Wakatekumeni na Wagonjwa itafanyika siku ya Alhamis Tarehe 11/04/2019 Katika Kanisa Kuu la Mt. Yosefu Jimboni Njombe.
Misa Takatifu itaongozwa na Mhashamu Alfred Maluma, Askofu wa Jimbo Katoliki la Njombe. Misa itaanza saa nne kamili asubuhi.
Nyote mnakaribishwa.