Monthly Archives: July 2018

KONGAMANO LA MAKATEKISTA JIMBO

KONGAMANO LA MAKATEKISTA JIMBO LA NJOMBE MAKATEKISTA! – UINJILISHAJI KWANZA!!! Limefanyika kongamano kubwa la Makatekista Jimboni Njombe ambalo limekusanya makatekista 500 toka parokia zote 47 za Jimbo Katoliki la Njombe tangu 02-07-2018 na kuhitimisha tarehe 05-07-2018. Kongamano hili linatekeleza azimio la Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) ambao waliagiza kila kundi katika Kanisa liadhimishe Jubilei […]

Read More