JIMBO LA NJOMBE LAPATA SHEMASI NA MAPADRE
Tarehe 11 Januari 2018 ilikuwa na siku ya furaha kwa Jimbo Katoliki la Njombe ambapo Mhashamu Askofu Alfred Maluma alitoa Daraja Takatifu ya Ushemasi kwa Mseminari Oswald Mgaya wa Parokia ya Kipengere na Daraja ya Upadre kwa Mashemasi Frank Mwinami wa Mtwango na Johnbosco Mligo wa Parokia ya Njombe. Katika mahubiri yake, Askofu Maluma aliwasisitizia […]