Monthly Archives: September 2017

Makongamano ya UVIKANJO Kidekania yasisimua vijana

Hivi karibuni kumekuwepo na makongamano ya Vijana wanaUVIKANJO katika dekania mbalimbali za Jimbo la Njombe. Dhamira iliyokuwa inaongoza makongamano hayo ni: MKUMBUKE MUUMBA WAKO SIKU ZA UJANA WAKO (Mhubiri 12:1). Vijana wengi wamejitokeza kuhudhuria makongamano hayo ambayo yaliandaliwa na dekania hizo kwa ushirikiano na Ofisi ya Vijana Jimbo. Makongamano haya yamekuwa ni chachu ya kuwaleta […]

Read More