Misa ya Krisma

Misa ya Krisma

Kubariki Mafuta

Kubariki Mafuta

Katika Misa hii yalibarikiwa mafuta matakatifu ya Krisma, wagonjwa na ya wakatekumeni.

Pia Mhashamu Askofu alizindua rasmi jubilei ya upadre Tanzania 1917-2017 ambayo kwa Jimbo la Njombe kilele kitakuwa tarehe 11/10/2017 kwa heshima ya kumbukumbu ya tarehe ya Upadrisho wa Padre wa Kwanza mzalendo jimboni Marehemu Padre Alois Kayombo (11/10/1951).

Mshahamu Baba Askofu aliwaalika waamini wote kuwaombea mapadre wao ili waweze kutimiza kazi zao ipasavyo kadiri ya wito wao.