Askofu wa Jimbo

Mhashamu Askofu Alfred L. MALUMA alizaliwa 12 Disemba 1955 Kigango cha Lukani, Parokia ya Igwachanya Parish, Jimboni Njombe. Alipata Daraja Takatifu ya Upadre 17 Novemba 1985. Aliteuliwa kuwa askofu wa pili wa Jimbo Katoliki la Njombe tarehe 08th Juni 2002. Aliwekwa wakfu na kusimikwa kuwa Askofu wa Jimbo tarehe 01 Septemba 2002.

 

ANUANI

Bishop’s House

P.O. Box 54, NJOMBE

Tel: Office: 029-2782033, Fax: 026-2782402

E-mail: njombe03@gmail.com