JIMBO KATOLIKI LA NJOMBE

Salaam za Baba Askofu

Karibu katika tovuti yetu.
Nawatakia mafanikio mema katika maisha yenu

Soma Zaidi

JIMBO KATOLIKI LA NJOMBE

JIMBO KATOLIKI LA NJOMBE

Jimbo Katoliki la Njombe lilitangazwa rasmi tarehe 16 Februari 1968 Baba Mtakatifu Paulo VI. Mheshimiwa Padre Bruno Zwissler OSB aliteuliwa kuwa Msimamizi wa Kitume

Soma Zaidi

Baba Mtakatifu Francisco

Baba Mtakatifu Francisco

Maisha ya binadamu ni historia inayopaswa kusimuliwa kwa umakini mkubwa kwa kuchagua mambo msingi na yenye maana, ili hatimaye kusoma matukio haya kwa miwani sahihi! Kwa Wakristo miwani sahihi ni Injili ya Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai!